>

KIUNGO MZAMIRU NI MVIVU,MVIVU KWELIKWELI

KIUNGO mzawa ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni mvivu,mvivu,mvivu haswa kwenye kuongea lakini akiwa uwanjani anavunja jasho kwelikweli. Mara chache kumkuta akizungumza na hata akizungumza hana maneno mengi zaidi ya tunasmhurku Mungu na maandalizi yapo vizuri. Eneo lake la kati kwenye ukabaji bado Simba haina mbadala wake mzawa ikiwa atasepa kwenye kikosi cha…

Read More

AZAM FC YAFUNGA MWAKA KIBABE

UBAO wa Uwanja wa Azam Compex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 6-1 Mbeya City na kuwafanya matajiri hao kufunga mwaka kibabe. ni Sopu alitupia kambani mabao mawili, Prince Dube, Keneth Muguna ,Nado na Mkandala walitupia bao mojamoja. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex ulikuwa ni wa kufungia mwaka 2022. Bao la Meya…

Read More

HUKU NDIKO AMEIBUKIA FEI TOTO

2023 kiungo wa mpira mwenye mkataba na Yanga mpaka 2024 umemkutia akiwa ndani ya Dubai ambapo amekwenda kwa ajili ya majukumu yake. Nyota huyo mwenye mabao sita na pasi mbili za mabao amekuwa kwenye mvutano na mabosi wa timu yake kuhusu mkataba wake. Fei mwenyewe amewaaga mashabiki na kuwashukuru viongozi kwa muda ambao ametumika ndani…

Read More