
SIMBA YATUNGULIWA KOCHA MPYA AKISHUHUDIA
KOCHA Mkuu, Juma Mgunda akiwa amefanya mabadiliko makubwa kikosi cha kwanza kwa kumuazisha Beno Kakolanya langoni huku nahodha akiwa ni Gadiel Michael alionja joto ya jiwe. Baada ya dakika 90 kukamilika Simba ambao ni mabingwa watetezi ubao ulisoma Simba 0-1Mlandege. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Abubakar Mwadin dakika ya 75 ya mchezo huo…