JEMBE JIPYA MTIBWA SUGAR LAANZA KAZI
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar Vitalis Mayanga ataonekana ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani akitumia jezi namba 27. Alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania anaanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar kinachonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga. Mshambuliaji huyo msimu uliopita hakuwa kwenye mwendo bora ndani ya kikosi cha…