SIMBA, MAKUSU MAMBO SAFI

TAARIFA kutoka DR Congo zinaeleza kuwa Klabu ya Simba ipo katika hatua nzuri za kukamilisha usajili wa mshambuliaji Jean Marc Makusu Mundele. Simba kwa sasa ipo nchini Dubai ambapo inaendelea na kambi yake kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili na mechi za kimataifa. Wakala wa mchezaji huyo, Faustino Mukandila ameweka wazi kuwa mchezaji…

Read More

YACOUBA NA YANGA, MAISHA LAZIMA YAENDELEE

ALIKUWA moja ya wachezaji tegemeo ndani ya kikosi cha Yanga kwenye eneo la ushambuliaji ambapo aliunda pacha nzuri na Deus Kaseke. Yacouba amewaaga mabosi wa timu hiyo na kuwashukuru kwa muda ambao alikuwa nao ndani ya kikosi hicho. Alikuwa nje kwa muda wa msimu mzima akipambania hali yake baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa…

Read More

AZAM FC WAELEKEZA NGUVU HUKU

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa unawekeza nguvu zao zote kwenye Ligi Kuu Bara na Kombe la Azam Sports Federation ambalo wanashiriki. Timu hiyo ilienguliwa kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 kwa kugotea hatua ya nusu fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Amaan kusoma Azam FC 1-4 Singida Big Stars, Januari 8….

Read More

NIDHAMU IWE NA MWENDELEZO KWENYE LIGI KUU BARA

MWENDELEZO wa ligi unatarajia kurejea kwa kasi kutokana na kila timu kuwa na shauku ya kupata pointi tatu muhimu. Huu ni mzunguko wa pili ambao hauna chaguo la nani atafungwa iwe nyumbani ama ugenini mambo yamebadilika sana siku hizi. Haya yote yanatokana na ushindani uliopo kwani hata zile ambazo zinajiita timu kongwe zimekuwa zikipata ugumu…

Read More

KIUNGO LUIS AKUBALI KUTUA YANGA, OFA YA MAANA MEZANI

TAARIFA zikufikie kuwa, kiungo wa Al Ahly ya nchini Misri, Luis Miqquissone ameikubali ofa nono aliyowekewa na mabosi wa Yanga ili kufanikisha dili lake la kutua mitaa ya Jangwani. Luis ni kati ya wachezaji wanaotajwa kuwaniwa na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa tangu Desemba 16,2022. Wachezaji wanaotajwa kuwepo katika mipango ya kusajiliwa…

Read More

JEMBE JIPYA MTIBWA SUGAR LATIMIZA NDOTO

 INGIZO jipya ndani ya Mtibwa Sugar, Vitalis Mayanga ameweka wazi kuwa ilikuwa ni ndoto yake kujiunga na Mtibwa Sugar alipoanza soka la ushindan. Hivyo kujiunga na timu hiyo ametimiza ndoto yake ya muda mrefu. Mayanga alitambulishwa rasmi kuwa ni mali ya Mtibwa Sugar Januari 11,2023. Ni ingizo jipya ambapo alikuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania…

Read More