KIUNGO MZAMIRU NI MVIVU,MVIVU KWELIKWELI
KIUNGO mzawa ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni mvivu,mvivu,mvivu haswa kwenye kuongea lakini akiwa uwanjani anavunja jasho kwelikweli. Mara chache kumkuta akizungumza na hata akizungumza hana maneno mengi zaidi ya tunasmhurku Mungu na maandalizi yapo vizuri. Eneo lake la kati kwenye ukabaji bado Simba haina mbadala wake mzawa ikiwa atasepa kwenye kikosi cha…