
KISINDA ATAJA SABABU ZA KUREJEA NDANI YA YANGA
TUISILA Kisinda kiungo wa Yanga ameweka wazi kuwa amereja kwa mara nyingine kufanya kazi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Winga huyo wa Yanga amerejea kwa mara nyingine ndani ya Yanga baada ya kuuzwa msimu uliopita ndani ya kikosi cha RS Berkane ya nchini Morocco. Amerudi kwa mara nyingine kuitumikia Yanga…