
MASTAA WA YANGA WAPIGWA STOP KUTUMIA BURGER NA PIZZA
KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanaepukana na majeraha ya mara kwa mara, Daktari wa Viungo waYanga,MtunisiaYoussefAmmar amewapiga stop mastaa wa timu hiyo kutumia vyakula aina ya Burger na Pizza. Hiyo ni katika kuhakikisha wanapunguza ongezeko la wachezaji wenye majeraha katika kikosi chao hicho ambacho kimepiga kambi hukoAvic Town, Kigamboni nje kidogo ya jiji la Dar es…