
MANCHESTER CITY HAWAAMINI MACHO YAO
VINARA wa Ligi Kuu England, Manchester City hawaamini macho yao baada ya kubanwa mbavu na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu England. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Selhurst Park ulisoma Crystal Palace 0-0 Manchester City na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. Sare hiyo inawafanya City kufikisha alama 70 wakiwa nafasi ya kwanza…