
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUSSA Mbissa kipa namba moja wa Coastal Union amesema kuwa walifanya makosa kwenye mchezo dhidi ya Simba jambo ambalo linawafanya waweze kujipanga kwenye mechi zijazo. Mbissa ameweka wazi kuwa alikuwa akitimiza majukumu yake bila kupoteza muda na akiweka wazi kwamba Meddie Kagere alitulia kwenye kufunga bao la ushindi Uwanja wa Mkwakwani.
AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kumzuia mtu ambaye ametoka kushinda mechi za CAF ni ngumu mno hivyo wapinzani wao Coastal Union wanastahili kupata pongezi kwa kile ambacho wamekifanya. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani,Aprili 7,Tanga ubao ulisoma Coastal Union 1-2 Simba. Kuhusu mchezo wa Azam FC 1-2 Yanga ameweka wazi kuwa walikuwa…
SASA ni rasmi mchezo wa Simba v Orlando Pirates utakaochezwa Uwanja wa Mkapa lile jumba lote la burudani itakuwa ‘full house’ baada ya ruhusa kamili kutolewa. Taarifa rasmi iliyotolewa na Simba leo Aprili 8 imeeleza namna hii:”Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limekubali ombi letu la mashabiki 60,000 kuingia uwanjani kwenye mchezo wa robo fainali ya…
WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye mashindano ya kimataifa wanakwenda kuandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutumia mfumo wa msaada wa VAR kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Tokea VAR ianze kutumika katika mchezo wa soka duniani, haijawahi kutumika kwenye Uwanja wowote nchini na Simba iliyofikia hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho…
MBEYA Kwanza yenye maskani yake Mbeya kwa sasa sio ya kwanza kwa timu ambazo zina maskani yake kwenye mkoa huo wenye madhari ya kijani. Kwa sasa kwenye msimamo inaburuza mkia ikiwa imekusanya pointi 14 baada ya kucheza mechi 19. Safu ya ushambuliaji ya Mbeya Kwanza imetupia mabao 14 ikiwa imeshinda mechi 2 pekee za ligi….
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango kazi wao namba moja ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Simba. Kwenye msimamo, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ni namba moja ikiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 19 ndani ya Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari…
HESABU za Simba baada ya kumaliza mchezo wao jana Aprili 7 mbele ya Coastal Union na ubao wa Uwanja wa Mkwakwani kusoma Coastal Union 1-2 Simba ni dhidi ya Polisi Tanzania. Simba ni mabingwa watetezi wakiwa nafasi ya pili na pointi 40 inakwenda kukutana na Polisi Tanzania Aprili 10,2022. Polisi Tanzania kwenye msimamo ipo nafasi…
NYOTA wa Klabu ya Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kupata majeraha ya goti wakati timu hiyo ilipokuwa inajiandaa kucheza na Klabu ya DTB mchezo wa kirafiki. Chilunda aliongozana na Daktari wa Timu Dkt Mwanandi Mwankemwa na kuibukia Cape Town, Afrika ya Kusini kwa ajili ya…
PAUL Merson kiungo wa zamani wa Arsenal amesema kuwa wapinzani wake wa zamani Tottenham Hotspur wana nafasi ya kumaliza ndani ya Top 4 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Nyota huyo ameweka wazi kuwa ikiwa mshambuliaji wa timu hiyo Harry Kane akiumia mambo yatakuwa ni magumu zaidi kwao. Ikumbukwe kwamba hata Arsenal inawania nafasi ya…
USIKU wa deni haukawii kukucha walisema wahenga na ilikuwa hivyo Uwanja wa Mkapa kwa wawakilishi wa Tanzania kimataifa kuweza kutimiza jambo lao. Ilikuwa ni lazima ishinde ili itinge hatua ya robo fainali kama haari ingekuwa nyingine,safari ingewakuta Simba waliokuwa wakisaka ushindi mbele ya USGN. Jasho na machozi ya furaha yalimwagika kwa Mkapa baada ya ubao…
Ni desturi ya kampuni ya Meridianbet kurudisha kwa jamii inayoizunguka. Katika kuendeleza utamaduni huu, Meridianbet inaungana na familia ya Bi. Zainabu Mohamed ambaye anasumbuliwa na tatizo la kansa. Bi. Zainabu ambaye ni mkazi wa Buza, Dar es Salaam, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa takribani miaka 2 tatizo ambalo linamfanya ashindwe kukaa au kusimama na…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
YANGA:Leteni yeyote tunapiga, Simba yamoto nje ndani ni ndani ya Championi Ijumaa
BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo wa mpira wa miguu kutoka 90 hadi 100 kabla ya mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar, FIFA imeibuka na kukanusha taarifa hizo. Taarifa kutoka fifa imesema:“Kufuatia taarifa za uzushi zilizosambaa leo,…
WAKIWA Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara,Simba wameshinda mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union wakipata ushindi usiku kabisa kabla mchezo kukamilika. Dakika 45 za mwanzo Simba iliweza kucheza kwa utulivu na kutengeneza nafasi nne za wazi lakini hazikuweza kuleta matunda kwao. Ni bao la Bernard Morrison dk 40 na lilisawazishwa…
Mapumziko, Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Coastal Union 0-1 Simba. Bao la kuongoza kwa Simba limepachikwa na kiungo Bernard Morrison dk ya 40 baada ya beki wa Coastal Union kufanya makosa katika kupiga pasi kwenda mbele. Coastal Union chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda imeweza kuotea mara mbili na wamepiga mashuti matatu ambayo yamelenga lango. Simba…