
YANGA YAINYOOSHA JKT TANZANIA 3-2
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki wa kuweza kujiweka sawa. Mchezo wa leo ni maalumu kwa ajili ya timu hiyo kujiweka sawa kuelekea mchezo wao wa ligi ujao. Juni 15,2022 Yanga inatarajiwa kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa…