
AZAM FC YATUNGULIWA SOPU AKITUPIA MBILI
DAKIKA zake 71 zilitosha kufanya ubao wa Uwanja wa Mkapa ukasoma Azam FC 2-3 Yanga. Ni Abdul Seleman, ‘Sopu’ nyota wa Azam FC alikuwa kwenye ubora lakini timu yake ya Azam FC imetunguliwa ikiwa nyumbani na kuyeyusha pointi tatu mazima. Mabao ya Yanga yalifungwa na Fiston Mayele dakika ya 31 na Aziz KI dakika ya…