
MZEE WA SPIDI 120 HATIHATI KUWAVAA COASTAL UNION
MZEE wa spidi 120 Tuisila Kisinda kuna hatihati ya kuanza kwenye mchezo wa kesho kutokana na kutokuwa fiti. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kesho Desemba 20,2022 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union. Kwa mujibu wa Cedrick Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo…