KIUNGO WA KAZI MKUDE KUIKOSA NAMUNGO KESHO

KIUNGO Jonas Mkude wa Simba kesha anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mkude ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Juma Mgunda anatarajiwa kukosekana kutokana na kutokuwa fiti kiafya. Simba imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu kesho itakuwa na kazi ya kusaka…

Read More

NAMUNGO YATUMA UJUMBE HUU MSIMBAZI

KOCHA msaidizi wa Namungo, Shadrack sajigwa amebainisha kuwa wachezaji wote wapo kamili kwa ajili ya kuikabili Simba. Kikosi cha Namungo kimeshatia timu ndani ya Dar ambapo kilifanya maandalizi ya mwisho Ruangwa,Novemba 13 kabla ya kuibukia kwenye jiji la Biashara. Miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na Shiza Kichuya ambaye aliwahi kucheza…

Read More

MTIBWA SUGAR HASIRA ZOTE KWA COASTAL UNION

AWADH Juma, kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar amesema kuwa hasira zote za kupoteza kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC wanazipeleka kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union. Mtibwa Sugar ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-3 dhidi ya Azam FC mchezo uliochezwa Uwanja wa Manungu wikiendi iliyopita. Leo Mtibwa Sugar ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele…

Read More

RONALDO: MANCHESTER UNITED IMENISALITI

CRISTIANO Ronaldo amebainisha kuwa Klabu ya Manchester United imemsaliti kwa kuwa wanamlazimisha aondoke. Ronaldo amefunguka hayo kwenye mahojiano maalumu na gwiji wa habari, Piers Morgan. Kabla ya msimu wa 2022/23 kuanza iliripotiwa kuwa nyota huyo anataka kusepa ndani ya Manchester United baada ya timu hiyo kushindwa kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya. Nyota…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

NOVEMBA 15,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa wababe kuendelea kusaka pointi tatu ndani ya dakika 90. Ni KMC hawa watoza ushuru wao watamenyana na Dodoma Jiji utachezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. KMC kibindoni wana pointi 14 wanakutana na Dodoma Jiji wenye pointi 6. Azam fc V Ruvu Shooting hawa watamenyana Uwanja wa…

Read More

HUYU HAPA MKALI WA KUTUPIA BONGO

MZAWA namba moja kwa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara ni Sixtus Sabilo anayekipiga ndani ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwa mechi za nyumbani. Kibindoni katupia mabao 7 ambapo mchezo uliopita mbele ya Coastal Union kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 alitupia mabao yote mawili kimiani. Ilikuwa dakika ya 39 na dakika ya…

Read More