DODOMA JIJI WAREJEA NYUMBANI

UONGOZI wa Dodoma Jiji umsema kuwa utaanza kutumia Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye mechi za nyumbani baada ya kufunguliwa. Uwanja huo ulikuwa umefungiwa kwa matumizi kutokana na kutokidhidi vigezo hivyo kufunguliwa kwake ni baada ya vigezo kukamilika. Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema kuwa wamepokea taarifa hizo kwa furaha na itakuwa ni mwanzo…

Read More

MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA NA KURUGENZI

MABINGWA watetezi wa Kombe la Azam Sports Federation, Yanga kwenye mchezo wao wa raundi ya Pili wataanza na Kurugenzi FC. Yanga ni mabingwa watetezi ambao walitwaa ubingwa huo uliokuwa mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Kikosi hicho kipo chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi akifanya kazi kwa ukaribu na Cedric Kaze ambaye ni msaidizi….

Read More

HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO

KWENYE droo ya Azam Sports Federation raundi ya pili ambayo imechezwa leo Novemba 30,2022 Simba imewatambua wapinzani wake. Ni kikosi cha Eagle kitapambana na Simba kusaka ushindi kwenye mchezo wao huo ujao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 9-11, 2022 ambapo Simba waliweka wazi kuwa wanahitaji kutwaa taji hilo. Mabingwa watetezi wa taji hilo…

Read More

ENGLAND HAO 16 BORA KOMBE LA DUNIA

NYOTA Marcus Rasford alikuwa kwenye ubora wakati timu ya taifa ya England ikiwatungua mabao 3-0 Wales kwenye mchezo wa hatua ya makundi, Kombe la Dunia Qatar. Ni dakika ya 50 na 68 nyota huyo alifunga huku bao lingine likiwa ni mali ya Phil Foden dakika ya 51 kwenye mchezo huo wa kundi B uliokuwa na…

Read More

TIMU ZILIZOTOA WACHEZAJI WENGI KOMBE LA DUNIA

KUTOKANA na Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linalofanyika Qatar kuanza karibia majira ya baridi, msimu huu umekuwa wa kitofauti ambapo ligi mbalimbali duniani zimesimama kupisha michuano hii mikubwa ya kimataifa. Miaka ya nyuma, Kombe la Dunia limekuwa likichezwa punde tu ligi nyingi duniani zinapomalizika. Msimu huu hali imekuwa tofauti, ligi mbalimbali zilichezwa na…

Read More

YANGA NDANI YA DAR,YAJIVUNIA REKODI YAO

BAADA ya kupoteza mchezo wa jana wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC kikosi cha Yanga kimewasili salama Dar. Novemba 29/2022 itakuwa kwenye rekodi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuonja joto ya kupoteza mechi ya ligi kwa mara ya kwanza tangu itunguliwe Aprili 25,2021. Timu ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni…

Read More

KALI ONGALA AKIRI LIGI NI NGUMU

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mgumu kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu. Ongala amekuwa kwenye mwendo bora na kikosi cha Azam FC ambapo mchezo wake wa kwanza aliwatungua Simba bao 1-0 Uwanja wa Mkapa na mtupiaji alikuwa ni Prince Dube. Ushindi…

Read More

KINAWAKA KOMBE LA DUNIA KUUKARIBISHA DESEMBA, USIWE NYUMA BURUDIKA NA MERIDIANBET

Ni siku nyingine tena ya kushuhudia mbungi ikipigwa kwenye viwanja mbalimbali Qatar, ni mechi za kufunga mwezi Novemba na kuukaribisha mwezi wa Sikukuu Desemba. Jumatano tulivu ya kumtazama Kylian Mbappe, Messi na Robert Lewandowsk,pia ni Alhamis njema kabisa ya kuziona Ubelgiji, Hispania, Ujerumani na Croatia zikitoa burudani ya mocho na roho. Usiwe nyuma burudika ukibeti…

Read More

IHEFU WAIVUNJA REKODI YA YANGA KWENYE LIGI

 WAKULIMA kutoka Mbeya, Ihefu FC wamevunja mwiko wa Yanga kuendelea kucheza mechi za ligi bila kufungwa baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1. Wakiwa Uwanja wa Highland Estate, Ihefu walianza kutunguliwa bao kipindi cha kwanza kupitia kwa kiraka Yanick Bangala dakika ya 8. Ni Nivere Tigere aliweka usawa dakika ya 38 na kuwafanya waende mapumziko…

Read More

KOCHA KMC ATAJA WANAPOKWAMA

KOCHA Mkuu wa KMC, Hitimana Thiery amesema kuwa wanashindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi ambazo wanacheza kutokana na wachezaji wake wengi wa kikosi cha kwanza kutokuwepo kikosini. KMC mchezo wake uliopita wa ligi ubao wa Uwanja wa Uhuru ulisoma KMC 0-0 Prisons na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. Kocha huyo ameweka wazi anaamini wachezaji wake wakipona…

Read More

IHEFU 1-1 YANGA

UBAO wa Uwanja Highland Estate dakika 45 unasoma Ihefu 1-1 Yanga ambapo kila timu imepata bao moja ambalo linawapeleka kwenye mapumziko. Ni Yanga walianza kupata bao kupitia kwa Yannick Bangala dakika ya 8 ambaye alipachika bao kwa kichwa akitumia pasi ya Lomalisa. Kwa upande wa Ihefu bao lao lilipatikana kupitia kwa Tigere dakika ya 43…

Read More