
WACHEZAJI YANGA WAMETOA AHADI HII KWA MABOSI
WACHEZAJI wa Yanga kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejresha imani ya mashabiki katika Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha Simba dhidi ya Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Ni Jumatatu timu ilirejea kambini Kijiji…