
AZIZ KI: NINAPENDA KUFUNGA
AZIZ Ki kiungo mshamuiaji wa Yanga amesema kuwa anapenda kufunga ama kutengeneza nafasi za mabao akiwa ndani ya uwanja. Nyota huyo ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo alijiunga na kikosi hicho akitokea ASEC Mimosas. Oktoba 23,2022 alifunga bao la pili ndani ya ligi ambapo alimtungua Aishi Manula kwa pigo la faulo akiwa nje ya…