
VIDEO:MGUNDA AFUNGUKA ISHU YA ERASTO NYONI
KUHUSU Erasto Nyoni kuanza kikosi cha kwanza Juma Mgunda huyu hapa anafunguka
KUHUSU Erasto Nyoni kuanza kikosi cha kwanza Juma Mgunda huyu hapa anafunguka
MZAMIRU Yassin kiungo wa kazi ndani ya Simba mchezo wake wa kwanza kutokuwa kwenye mpango wa benchi la ufundi msimu wa 2022/23 ilikuwa dhidi ya Azam FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Hakuwa kwenye mpango wakati timu hiyo ikinyooshwa kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa Oktoba 27,2022. Nyota huyo mzawa…
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum amesema kuwa atazidi kuongeza juhudi katika kutengeneza nafasi na kufunga pale anapopewa nafasi ya kucheza. Kiungo huyo mzawa ni namba moja kwa mastaa wenye mabao mengi ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Bao lake la nne alipachika kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa…
MORRISON akinukisha Yanga SC, Simba SC yaonja uchungu wa mwiko ndani ya Championi Ijumaa.
AZAM FC wameupiga mpira mwingi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Simba na kufanikiwa kusepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Pongezi kwa Prince Dube ambaye alifunga bao la ushindi dakika ya 35 kwenye mchezo huo ambapo Simba walikuwa hawapo kwenye ubora wao. Kwenye kila idara Simba leo walikuwa wamezidiwa…
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula hana bahati anapokutana na Yanga kwenye mechi za ligi kutokana na kutunguliwa mabao magumu na wapinzani hao wakiwa nje ya 18. Manula msimu wa 2022/23 amekaa langoni kwenye mechi 6 akiyeyusha dakika 540 akiwa hajafungwa kwenye mechi nne na ni mechi mbili kufungwa ilikuwa dhidi ya KMC alipofungwa…
Leo bwana sloti nimekuletea sloti bomba kabisa ya Crazy Times kutoka Meridianbet, hapa ni ushindi babu kubwa ndiyo unaokufanya uchizike! Ungependa kuwa mshindi wa wa Crazy Times? Ifahamu zaidi hapa! Kuhusu Sloti ya Crazy Time Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa watapanga wao lini wafungwe ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na uimara walionao. Kwenye ligi Yanga imecheza mechi 44 bila kufungwa ambapo walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Simba ambao ni watani zao wa jadi. Jana walipata ushindi wa bao1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo…
SADIO Kanoute, kiungo mgumu ndani ya kikosi cha Simba hali yake inazidi kutengemaa mdogomdogo baada ya kuugua ghalfa kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Nyota huyo raia wa Mali hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23 na kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 kutokana…
NABI atoa masharti Yanga, Bosi Simba apiga mkwara ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
HALI ilikuwa mbaya kwa Barcelona kwenye mchezo wa UEFA Champions League ndani ya dakika 90 kwa kuwa hakuna shuti hata moja walilopiga likalenga lango. Katika mashuti 9 waliyopiga ilikuwa ngumu kupenya kwenye ngome ya Bayer ya Msenegal Sadio Mane ambaye alianza kuwatungua dakika ya 10 kwenye mchezo huo. Licha ya kuwa walikuwa Uwanja wa Camp…
MASTAA wanne wa Simba wanatarajia kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC kutokana na sababu mbalimbali. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo Oktoba 27,2022 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda ameweka wazi kuwa maandalizi…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya KMC huku akibainisha kuwa kulikuwa na mshtuko kwa benchi la ufundi kutokana na tetesi za kufutwa kazi ndani ya timu hiyo
TIMU ya Wanawake, ya Simba Queens imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiriki ya M Bet wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.Kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa mkataba huo hauingiliani na mkataba wa timu ya wanaume.Sababu kubwa za kuweza kupata…
BAO la ushindi ambalo amefunga Feisal Salum mbele ya KMC limeishusha Mtibwa Sugar nafasi ya kwanza mpaka ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Fei amefunga bao hilo kwenye mchezo wa ligi uliokamilika kwa ushindi wa bao 1-0 KMC, Uwanja wa Mkapa. Ni bao la nne la Fei ndani ya ligi na kuifanya Yanga…
KALI Ongala, Kocha wa Washambuliaji ndani ya Azam FC amesema kuwa wamefanya maandalizi mazuri kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba Kesho Azam FC ikiwa imetoka kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya KMC itakabiliana na Simba, Uwanja wa Mkapa. Ongala amesema anatambua uimara wa Simba nao wanawaheshimu hivyo watawakabili kwa tahadhari….
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wamechukua maandalizi yote muhimu kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa kesho. Mgunda amesema kuwa anatambua uimara wa Azam FC pamoja na benchi lao la ufundi jambo ambalo linawafanya wawe makini. Kesho Simba itakaribishwa na Azam FC ambapo hakuna timu iliyotoka kuvuna pointi tatu kwenye…