
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AL HILAL HIKI HAPA
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo Oktoba 8,2022 dhidi ya Al Hilal mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kipo namna hii:- Diarra Djuma Kibwana Job Bangala Aucho Feisal Moloko Mayele Aziz KI Morrison Akiba ni:- Mshery Bacca Nondo Lomalisa Mauya Sure Boy Kisinda Farid Makambo