
SIMBA YAPIGA 5G, MTIBWA MAJANGA KADI NYEKUNDU ZAWAPONZA
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin amerejea na nyota kali kwa kuwa miongoni mwa waliofunga mabao kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar. Baada ya dakika 90 kukamilika, ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar na kuifanya Simba kusepa mazima na pointi tatu. Mzamiru alifungua pazia…