
DAKIKA 90 ZAKIBABE KARIAKOO DABI
DAKIKA 90 za Kariakoo Dabi kila mmoja kasepa na pointi moja baada ya sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Mkapa. Simba walianza dakika ya 14 kupitia kwa Augustino Okra ambaye alionyeshwa kadi ya njano na mwamuzi Ramadhan Kayoko kwa kosa la kushangilia akiwa amevua jezi. Ngoma iliwekwa usawa na Aziz KI kwa pigo huru…