SIKU MBAYA KAZINI AZAM FC,KAGERA SUGAR
LICHA ya bao la kusawazisha ambalo lilifungwa na Idris Mbombo wa Azam FC dakika ya 18 bado pira kodi lilisepa na pointi tatu mazima. Ni kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Uhuru baada ya dakika 90 ubao umesoma KMC 2-1 Azam FC. Nyota wa KMC, Nzigamasab Styve alifunga bao la kuongoza dakika ya 15…