
MWAKINYO KUPANDA ULINGONI LEO
BONDIA kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo leo Septemba 3,2022 anatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa kwenye pambano la raundi 12. Jana Septemba 2, Mwakinyo aliweza kupima uzito huko jijini Liverpool nchini Uingereza akiwa tayari kushuka Ulingoni kuzichapa na Muingereza Liam Smith. Pambano hilo linatarajiwa kuchezwa saa 3:00 usiku Jijini Liverpool kwenye Ukumbi wa M&S Bank Arena ndani ya…