
U 23 YATOSHANA NGUVU NA SUDAN KUSINI AZAM COMPLEX
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 leo Septemba 23 kimelazimisha suluhu dhidi ya Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON. Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo wageni Sudan Kusini walicheza kwa umakini wakitumia mbinu ya kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. U 23 ilianza…