AZAM FC YAIPIGIA HESABU TANZANIA PRISONS

BAADA ya kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mbeya City kwa ushindi wa bao 1-0, hesabu za Klabu ya Azam FC ni kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Tanzania Prisons. Septemba 14, kikosi cha Azam FC kilirejea Dar na Ijumaa kilianza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Prisons…

Read More

KIMATAIFA SIMBA V YANGA KUCHEZA NA HIZI HAPA

LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya awali imekamilika na zile timu ambazo zimesonga mbele kimataifa zimewatambua wapinzani wao hatua inayofuata ikiwa ni pamoja na Yanga na Simba kutoka Tanzania. Hivi ndivyo ambavyo itakuwa kwa hatua ya kimataifa inayofuata itakuwa namna hii:- Rivers United v Wydad AC Plateau United v Espérance Tunis ASN Nigelec v Raja…

Read More

MAYELE ACHEKELEA KUTUPIA CAF

MSHAMBULIAJI namba moja wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa anafuraha ya kuwa miongoni mwa nyota walioweka historia kwa kufunga mabao mengi Ligi ya Mabingwa Afrika. Mayele katupia mabao sita msimu huu alifunga hat trick mbili ilikuwa mbele ya Zalan FC kwenye mechi mbili za hatua ya awali. Nyota huyo amesema:”Ilikuwa ni mechi ngumu kwetu mbele…

Read More

ARSENAL YAREJEA NAMBA MOJA

ARSENAL wamerejea tena juu walipokuwa mwanzo kabisa wa msimu baada ya ushindi wa mabao 0-3 ugenini dhidi ya timu ngumu ya Brentford. Arsenal ilipachika mabao mawili kwa nyota wake William Saliba dakika ya 17 na Gabriel Jesus dakika ya 28 wote wakipachika mabao hayo kwa kutumia kichwa. Bao jingine lilipachikwa na nyota Fabio Viera ambaye…

Read More