
STARS WAPENI TABASAMU WATANZANIA
HAIKUWA bahati kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kupata ushindi kwenye mechi za kuwania kufuzu CHAN baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa nyumbani na ugenini. Kwa sasa wachezaji 23 wameitwa kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Libya…