USAJILI WA KISINDA MAMBO BADO
IMEELEZWA kuwa nyota mpya wa kikosi cha Yanga, Tuisila Kisinda hatakuwa sehemu ya kikosi cha msimu mpya wa 2022/23 kutokana na usajili wake kushindwa kukamilika. Usajili huo umekwama kukamilika jambo ambalo limeleta sintofahamu kubwa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya klabu hiyo kuandikiwa barua wakizuiwa kuwa naye kutokana kwa kuwa imekamilisha uhamisho wa wachezaji…