SAFU YA USHAMBULIAJI YA SIMBA KAZI KWELIKWELI
NAHODHA wa Simba, John Bocco msimu wa 2022/23 amecheza mchezo mmoja akitumia dakika 6, hajafunga bao wala kutoa pasi chini ya Kocha Mkuu, Zoran Maki. Mbali na Bocco, rekodi za washambuliaji wa kikosi cha Simba kwa msimu huu hazijawa bora kwa kuwa kwa nyota wote watano ni mmoja kafanikiwa kufunga mabao mawili. Kibu Dennis mfungaji…