KUMUONA AZIZ KI,MORRISON,OKWA BUKU TANO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa viingilio vimewekwa wazi leo Agosti 10,2022. Mastaa ambao wanatarajia kuweza kucheza mchezo huo ni pamoja na Aziz KI,Bernard Morrison kutoka Yanga,Nelson Okwa, Victor Ackpan wa Simba. Ni 5,000 kwa mzunguko kwenye viti vya kijani na bluu,kwa upande wa…

Read More

RAIS FIFA ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA KILA HATUA

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Dunia FIFA, Gianni Infantino amesema kuwa kukuza mpira wa Afrika kunahitaji ushirikiano mkubwa na kila mmoja ili kuweza kufikia mafanikio. Inafantino aliwasili Tanzania Agosti 9 alipokelwa na mwenyeji wake ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia pamoja na viongozi wa TFF ameweka wazi kuwa…

Read More

SITA WACHAGULIWA KAMATI YA MASHINDANO YANGA

 RAIS wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ameteua Wajumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga Injinia ameweza kuteua kamati hiyo kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ili kuweza kuunda kamati hiyo maalumu.  Ni wajumbe 6 wametangazwa leo Agosti 10.2022 kuweza kuwa katika kamati hiyo kutimiza majukumu yao. Ni pamoja na Mustapha Himba,Lucas Mashauri,Seif Ahmed,(Magari),Pelegrius Rutayunga,Davis…

Read More

MSHAMBULIAJI WA KAZI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

KUTOKANA na taarifa kueleza kuwa nyota wao Dario Federico yupo kwenye hesabu za kuondoka ndani ya Singida Big Stars timu hiyo imebainisha kuwa nyota huyo bado yupo ndani ya kikosi hicho. Habari zimeeleza kuwa mshambuliaji huyo ambaye amekuwa kwenye mwendo mzuri wa kufanya vizuri katika mechi za hivi karibuni yupo kwenye hesabu za Yanga. Yanga…

Read More

ARSENAL YAMSAKA WINGA KWA PAUNDI 40

 KLABU ya Arsenal imetuma ofa ya Paundi milioni 40 kwa Villarreal ya nchini Hispania kwa ajili ya kuinasa saini ya winga wa klabu hiyo Yeremy Pino. Mchezaji huyo ambaye pesa yake ya kuvunja mkataba ni paundi milioni 80, pia ameripotiwa kuwa kwenye rada za Liverpool ambao nao wanatarajiwa kutuma ofa ya kumnasa winga huyo. Arsenal…

Read More