
KAMBI YA SIMBA MISRI NI NOMA
WASHINDI namba mbili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara,Simba wameweza kufika salama nchini Misri baada ya safari yao kuanza jana Julai 14,2022. Msafara huo umeweka kambi nchini Misri ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 Simba ilikwama kusepa na taji lolote na kuwafanya watani zao wa jadi kuweza…