>

ISHU YA UWANJA YAMSHANGAZA KOCHA,KESHO STARS KAZINI

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen amesikitishwa na kitendo cha Mamlaka za soka kuinyima ruhusa timu hiyo ya Taifa kupata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.  Poulsen amebainisha kuwa anajisikia vibaya na anshindwa kuelewa dhana ya kuinyima timu ya taifa faida ya kufanya mazoezi na maandalizi ya…

Read More

BEKI MPYA ATAMBULISHWA SIMBA LEO

RASMI leo Julai 22 Simba imemtambulisha beki mpya ambaye atakuwa kwenye kikosi chao kwa msimu wa 2022/23 katika mashidano ya kitaifa na kimataifa akichukua mikoba ya Pascal Wawa ambaye aliachwa rasmi na Simba. Simba wenyewe wamemuita beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chao…

Read More

KANE AINGIA ANGA ZA BAYERN MUNICH

 BAYERN Munich inatajwa kuwania saini ya  Harry Kane ambaye anacheza ndani ya Spurs inayoshiriki Ligi Kuu England. Kane mkataba wake ndani ya Spurs umebakiza miaka miwili hivyo ikiwa watakuwa wanahtaji saini yake wanapaswa kuvunja mkataba wake mazima. Nyota huyo ana umri wa miaka 28 aliletwa duniani mwaka 1994 hivyo bado ana umri wa kuendelea kupambana…

Read More

ALIOU CISSE,KOCHA BORA CAF

ALIOU Cisse, amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwaka na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Aliou Cisse, 46, aliiongoza Senegal kushinda kombe lao la kwanza la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon, mapema mwaka huu, baada ya kuishinda Misri kwa mikwaju ya penalti. Pia ameiongoza Simba wa Teranga kufuzu kwa Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka huu…

Read More

BAADA YA KUFUNGIWA MANARA AFUNGUKA

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amepewa adhabu ya kufungiwa miaka miwili leo Julai 21. Adhabu hiyo imetokana na makosa ambayo amekutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania. Mbali na kufungiwa miaka miwili pia Manara amepewa adhabu ya kutoa faini ya shilingi milioni 20. Baada ya adhabu hiyo,Haji Manara ametoa kauli…

Read More

KIUNGO WA MALI KUONDOKA SIMBA

MZEE wa mikato ya kimyakimya,kiungo mgumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute huenda akauzwa ili apate changamoto mpya. Inaelezwa kuwa kiungo huyo amepata dili kutoka kwa timu za nje ambazo zinahitaji saini yake ikiwa ni pamoja na zile za nyumbani kwao Mali pamoja na Afrika Kusini. Kaizer Chiefs inatajwa kuwa miongoni mwa timu ambazo zinahitaji saini…

Read More

AZAM FC KAMBI IMEPAMBA MOTO,KESHO KUSEPA

ABDIHAMID Moallin, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wanatarajia kucheza mechi nyingi za kirafiki nchini Misri ambapo wataweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Kesho Ijumaa,Julai 22 kikosi cha Azam FC kinatarajia kukwea pipa kuelekea Misri kwa ajili ya kambi ya siku 20. Kocha huyo ameweka wazi kuwa program ambazo alianza…

Read More

SAKHO BAO LAKE LAINGIA TATU BORA CAF

KIUNGO wa Simba Pape Sakho bao lake limeingia kwenye tatu bora kwa wale ambao wanaowania tuzo ya bao bora la CAF msimu wa 2021/22.  Kwa hatua hiyo bao la nyota huyo anayekipiga ndani ya Simba limepigiwa kura kiasi kikubwa na mashabiki wa Sakho ambao ni Watanzania pamoja na mashabiki wa mpira waliopo Tanzania na nje ya…

Read More

UWANJA WA SINGIDA NI LITI,KAMBI ARUSHA

SINGIDA Big Stars kwa msimu wa 2022/23 imeweka kambi yake Arusha ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti. Timu hiyo kwa sasa inaendelea kufanya maboresho kwa kuwatambulisha wachezaji wapya ambao imewapa madili mapya. Ikumbukwe kwamba awali ilikuwa inaitwa DTB wakati huo ilipokuwa inashiriki Championship na kwa sasa imebadili jina na inaitwa Singida Big…

Read More

GEORGE MPOLE YUPO SANA GEITA GOLD

 GEORGE Mpole mtupiaji namba moja ndani ya ligi msimu wa 2021/22 baada ya kufunga mabao 17 huenda akasalia ndani ya Geita Gold. Awali alikuwa anatajwa kuibuka ndani ya timu zilizomaliza tatu bora kwa ajili ya kuwa hapo msimu wa 2022/23. Kocha wa Geita Gold,Felix Minziro aliwahi kusema kuwa kutokana na kiwango ambacho amekionyesha mchezaji huyo…

Read More

PAPE AWAOMBA MASHABIKI WAZIDI KUMPIGIA KURA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho amewaomba mashabiki na kila mmoja kuendelea na zoezi la kumpigia kura kwenye kipengele ambacho amechaguliwa kuwania tuzo ya bao bora la mwaka la CAF. Nyota huyo alifunga bao kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambapo alipachika bao hilo kwa mtindo wa tik taka, ilikuwa ni Uwanja wa Mkapa. Kwa sasa…

Read More

AZAM FC YAFUNGA USAJILI NA BEKI WA KAZI

 UONGOZI wa Azam FC umefunga usajili wao kwa kumtambulisha beki wa kati wa kimataifa raia Senegal, Malickou Ndoye, akitokea Teungueth FC ya huko. Taarifa iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa Ndoye mwenye miaka 22, ni mmoja wa mabeki wanaokubalika na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse ambaye alimjumuisha kwenye kikosi kilichoshiriki…

Read More