SINGIDA UNITED CHIMBO LAO ARUSHA
HUSSEIN Massanza,Ofisa Habari wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 yanakwenda vizuri. Timu hiyo ambayo imepanda Ligi Kuu Bara kutoka Championship kwa sasa imeweka kambi Mjini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. Imebadili jina kutoka DTB mpaka kuwa ni Singida Big Stars kutokana na sababu…