
METACHA MNATA NI SINGIDA BIG STARS
RASMI Metacha Mnata ni mali ya Singida Big Stars ambayo imepanda Ligi Kuu Bara msimu huu ikitokea Championship. Julai 10,2022 Singida iliweza kumtambulisha nyota huyo kwa kubainisha kwamba atakuwa ni mchezaji wao rasmi. Mnata alikuwa ndani ya Polisi Tanzania kwa msimu uliopita wa 2021/22 ambapo aliweza kukusanya jumla ya clean sheet 8. Hussein Masanza, Ofisa…