
KMC HESABU ZAO ZA MZUNGUKO WA PILI ACHA KABISA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kwamba kwa sasa hesabu zao ni kuweza kufanya vizuri mechi zilizopo mbele yao katika kumaliza mzunguko wa pili. Baada ya kucheza mechi 25 KMC imekusanya pointi 31 ipo nafasi ya 10 kwenye msimamo. Mchezo wao ujao ni dhidi ya Tanzania Prisons iliyo nafasi ya 14 na pointi 25 inapambana kujinasua…