SIMBA YAMUACHIA STRAIKA WAO KUTUA SINGIDA

IMEELEZWA kuwa, Simba ipo katika mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kumuachia mshambuliaji wake, Yusuph Mhilu kwenda Singida Big Stars. Mhilu ni kati ya washambuliaji waliosajiliwa na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao ambacho kimeshindwa kutetea mataji yake ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports….

Read More

YANGA WATUMIA GARI LA MADRID KUBEBEA KOMBE

YANGA SC wanataka kuzifundisha timu nyingine namna gani ya kushangilia ubingwa msimu huu, hiyo ni baada ya Msemaji wa Yanga, Haji Manara kuweka wazi kwamba wameagiza gari maalumu la kubeba wachezaji na kutembeza kombe lao. Manara anasema, basi ambalo wameagiza ni kama lile walilolitumia Real Madrid kushangilia ubingwa wao wa La Liga na Ligi ya…

Read More

RALLY BWALYA ATAMBULISHWA AMAZULU YA AFRIKA KUSINI

Kiungo Rally Bwalya raia wa Zambia ametambulishwa rasmi kuwa Mchezaji wa Timu ya Amazulu ya Afrika Kusini akitokea Simba Bwalya amesema “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu” Timu ya Amazulu imemaliza Msimu wa 2021/22 ikiwa nafasi ya 7 katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini kati ya…

Read More

BUGATTI LA RONALDO LAPATA AJALI

MOJA ya magari mawili ya kifahari ambayo, Cristiano Ronaldo alikuwa ameyasafirishwa kwenda Mallorca nchini Hispania kwa ajili ya likizo ya familia yake majira ya kiangazi aina ya Bugatti Veyron limehusika katika ajali baada ya kugonga ukuta nchini Hispania. Gari hilo ambalo lina thamani ya pauni milioni 1.7 linadaiwa kupata ajali asubuhi ya kuamkia jana katika…

Read More

ARSENAL YAKOMAA NA JESUS MCHEZAJI WA MAN CITY

MAWAKALA wa Straika wa Manchester City, Gabriel Jesus wamesafiri mpaka nchini Uingereza kwa ajili ya kuhakikisha wanakamilisha dili la straika huyo ambaye anatajwa kutua ndani ya Arsenal kutokea Manchester City.   Mabingwa hao wa Premier wanataka pauni milioni 50 kwa Jesus, huku wakitarajia kurejesha fedha hiyo ili kufidia matumizi yao kwa, Kalvin Phillips wa Leeds…

Read More

MAN UNITED KUITIBULIA ARSENAL KWA RAPHINHA

UWEZO mkubwa aliouonyesha staa wa Leeds United, Raphinha kwa kuisaidia timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu England imezivutia klabu za Tottenham, Liverpool na Manchester United ambao sasa wameingia katika mbio hizo dhidi ya Arsenal ambayo tayari imetenga dau la pauni milioni 50. Mbrazil huyo alikuwa kinara wa mabao ndani ya kikosi cha Leeds msimu…

Read More