YANGA:UBINGWA ASILIMIA 99
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwa sasa licha ya kwamba bado hawajashinda ila ni suala la muda tu. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union ikiwa watashinda mchezo wa leo basi watakuwa ni mabingwa kwa kuwa pointi 67 ambazo watazipata hazitafikiwa…