AZIZ KI USO KWA USO NA INJINIA HERSI,SIMBA KUAMBULIA PATUPU
ISHU ya kiungo wa ASEC Mimosas Aziz KI imezidi kuleta ugumu kwa vigogo wa Dar ambapo Yanga na Simba wanaonekana kuhitaji saini yake. Ni Simba walianza kumvutia kasi kiungo huyo ambaye aliwatungua kwenye mashindano ya kimataifa kisha vinara wa ligi Yanga nao wakaanza kumvutia kasi. Inaelezwa kuwa mabosi wa Yanga wamewazidi ujanja Simba kwa kuweza…