SIMBA YAFUNGUKIA KUHUSU KUMSAJILI SAIDO WA YANGA

BAADA tetesi nyingi kuzagaa za kiungo Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ kutua Simba, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutamka hauna mpango wa kumsajili. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Yanga itangaze kutomuongezea mkataba kiungo uliomalizika Juni 30, mwaka huu. Mmoja wa mabosi wa Simba, amesema kuwa, ngumu kwao kumsajili mchezaji ambaye ameachwa na timu yake…

Read More

SINGIDA BIG STARS WAFUNGUKIA USAJILI WA BEKI SIMBA

UONGOZI wa Singida Big Stars imeweka wazi kuwa unatambua ubora wa beki wa Simba, Pascal Wawa ila haina mpango wa kumsajili kwa muda huu. Timu hiyo ambayo ilikuwa inaitwa DTB ilipokuwa inashiriki Championship inatajwa kuwa katika mazungumzo na Wawa ambaye mkataba wake unakaribia kuisha msimu utakapomeguka.  Mtendaji Mkuu wa Singida Big Stars,Muhibu Kanu amesema kuwa…

Read More

MASAU BWIRE:TUPO KWENYE NAFASI MBAYA

OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ameweka wazi kwamba wapo kwenye nafasi mbaya katika ligi jambo ambalo haliwaridhishi kuwa hapo walipo kwa sasa. Kwenye msimamo Ruvu Shooting ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 28 baada ya kucheza mechi 26 msimu huu huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imefunga mabao 24.  Bwire amesema kuwa…

Read More

KUMBE!CHAMA HAKUTAKIWA KUSAJILIWA SIMBA

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama hakutakiwa kusajiliwa ndani ya kikosi cha Simba msimu huu wa 2021/22 na badala yake alitakiwa kusajiliwa mshambuliaji wa kazi ambaye angetatua tatizo la ubutu wa ushambuliaji. Kiongozi mmoja wa Simba ambaye yupo ndani ya kamati inayofanya masuala ya usajili ameeleza kuwa ni mapendekezo yaliyofanywa na mtu mmoja pekee ambaye alitaka…

Read More

AZIZ KI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

 IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa msimu ujao wa 2022/23. Nyota huyo alikuwa anapigiwa hesabu pia na Simba ambayo kwa sasa ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola baada ya Pablo Franco kuchimbishwa ndani ya kikosi hicho. Ni…

Read More

MORRISON AGOMEA KURUDI SIMBA,YANGA YATAJWA

BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Simba amegomea kurudi ndani ya timu hiyo kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuwa na maelewano mazuri na moja ya viongozi wenye maamuzi makubwa. Nyota huyo ambaye alisimamishwa kwa muda na mabosi wa Simba kwa kile ambacho kilieleza kwamba anashughulikia matatizo ya kifamilia mkataba wake unameguka mwisho wa msimu huu. Na muda…

Read More