
MSHAMBULIAJI HUYU ATAJWA KUWAONDOA KAGERE NA MUGALU SIMBA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kuwania saini ya mshambuliaji wa Orlando Pirates, Pepra kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho na ilikuwa ni pendekezo la Kocha Mkuu, Pablo Franco aliyekuwa anainoa timu hiyo kabla ya kufutwa kazi Mei 31,2022.