
YANGA YAJIVUNIA USAJILI WA NYOTA WAO
MJUMBE wa Kamati ya Mashindano ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, anajivunia usajili bora wa kiungo mchezeshaji, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ ambao umeongeza ubora wa kikosi chao. Sure Boy ni kati ya wachezaji watano waliosajiliwa na Yanga katika dirisha dogo msimu huu akitokea Azam FC. Wachezaji wengine waliosajiliwa na timu…