
MASTAA WATATU SIMBA MAMBO NI MAGUMU KWAO
MASTAA watatu wa kikosi cha Simba ndani ya msimu wa 2021/22 kwenye ligi wanapata tabu kwa kuwa wamekwama kufunga kwenye mechi zao zote walizocheza. Simba wakiwa ni mabingwa watetezi eneo la ushambuliaji wanateswa na tatizo la kushindwa kumaliza nafasi ambazo wanazitengeneza jambo linalowafanya wawe kwenye mwendo wa kusuasua. Washambuliaji wake watatu msimu huu kwenye ligi…