PABLO AAPA KUIUA AZAM, AKATA TAMAA YA UBINGWA
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa watafanya kila liwezekanalo kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Azam FC ili kuendelea kukusanya pointi nyingi zaidi. Simba leo Jumatano wanatatarajiwa kucheza na Azam FC katika mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kuu utakaofanyika katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar. Simba wataingia katika mchezo…