
MO AMWAGA MAMILIONI SIMBA, MABOSI WA SIMBA WAINGIA CHIMBO
UNAWEZA kusema mwenendo wa ufungaji wa washambuliaji wa Simba msimu huu, hauwafurahishi wengi ndani ya klabu hiyo, hali iliyomfanya Rais wa Heshima, Mohamed Dewji kuweka zaidi ya shilingi milioni 800 za usajili msimu ujao. Mo alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kabla ya kuachia nafasi hiyo kwa Salim Abdallah ‘Try Again’, huku yeye…