VIGOGO YANGA NA SIMBA WAKWAMA ILULU
VIGOGO wa Kariakoo, msimu wa 2021/22 wamekwaa kisiki cha mpigo Ilulu mbele ya Namungo kwa kushindwa kusepa na pointi tatu mazima. Msimu huu ushindani umekuwa ni mkubwa na kila timu imeoneana kufanya vizuri katika mechi ambazo inacheza jambo ambalo limekuwa likileta burudani mwanzo mwisho. Vigogo wa Kariakoo, Yanga na Simba walipofunga safari mpaka Ilulu, walikwama…