MANCHESTER UNITED MAJANGA HUKO,KOSA LAO LATAJWA
RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa walishindwa kutumia vizuri nafasi ambazo walizipata kipindi cha kwanza jambo ambalo liliwafanya wapoteze mchezo wao. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Old Trafford ulisoma Manchester United 0-1 Atletico Madrid. Matokeo hayo yanaiondoa mazima United katika UEFA Champions League kwa jumla ya mabao 1-2 ambayo…