HIZI hapa mechi za kirafiki zitapigwa Uwanja wa Mkapa zipo kwenye kalenda ya FIFA
Tanzania v Central Africa Republic, Machi 23,2022 saa 1:00 usiku.
Central Africa Republic v Sudan, Machi 26,2022 saa 10:00 jioni.
Tanzania v Botswana, Machi 26,2022 saa 1:00 usiku.
Tanzania v Sudan,Machi 29,saa 1:00 usiku.
Kwa sasa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania wameanza maandalizi ya mechi hizo.