
SIMBA KUKWEA PIA KUWAFUATA WAPINZANI WAO ASEC
IMEELEZWA kuwa kesho Ijumaa wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho, Simba wanatarajia kukwea pipa kueleka nchini Benini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumapili ya Machi 20,2022 ukiwa ni mchezo wa tano kwenye hatua ya makundi na unatarajiwa kuchezwa nchini Benin. Kwenye…