STUDIO ZA EXPANSE KUSHIRIKI MAONESHO YA ICE JIJINI LONDON, 2022
Kampuni kinara wa kutengeneza michezo ya kubashiri, Expanse Studio, wataonesha michezo yao mipya na mpango wa maboresho kwenye maonesho ya ICE London 2022 kuanzia Aprili 12-14, watapatikana kwenye banda namba S5-332. Baada ya miaka miwili, maonesho makubwa ya kibiashara yanarejea. Safari hii yatakwenda moja kwa moja na ongezeko la potifolio ya sloti za Expanse…