LEO Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar ina kazi ya kusaka pointi 3 mbele ya Yanga ambao nao pia wanahitaji hizo pointi.
Hiki hapa kikosi cha Yanga:-
Diarra
Djuma
Farid
Bangala
Mwamnyeto
Aucho
Sure Boy
Nkane
Said
Feisal
Mayele
Akiba
Mshery
Boxer
Yassin
Bacca
Kaseke
Ambundo
Balama
Mauya
Makambo