UncategorizedVIDEO:UTAZAME UWANJA WA BUNJU COMPLEX ULE WA NYASI BANDIA Saleh3 years ago01 mins KWENYE viunga vya Bunju Complex kuna viwanja viwili ambavyo hutumiwa na Simba SC pamoja na Simba Queens kwa ajili ya mazoezi ya mechi zao za ligi pamoja na mashindano mengine. Huu hapa ni muonekano wa Uwanja ule wenye nyasi bandia upo namna hii:- Post navigation Previous: YANGA WAPIGA HESABU ZA USHINDI MBELE YA MBAONext: VIDEO:KOCHA WA SIMBA PABLO AFUNGUKA KUHUSU KUSHINDWA KUPATA USHINDI