MASHINDANO YA AFCON, KANDANDA LA EPL NA SERIE A ZOTE KUTOA BURUDANI

Mashindano ya AFCON yanaendelea kushika kasi viwanjani. Kule barani Ulaya, EPL na Serie A nako mambo ni moto. Wikiendi hii, mchongo wa Odds Bora upo hivi;

 

Ijumaa hii, Gabon watachuana na Ghana katika mchezo wa pili hatua ya makundi kunako AFCON. Huku Pierre-Emerick Aubameyang, kule ni Saidio Mane. Mdhamini shujaa wako kwa Odds ya 2.12 kwa Ghana ndani ya Meridianbet.

Jumamosi, Etihad Stadium kusimamia burudani ya Manchester City vs Chelsea. Huu ni mchezo wa kwanza wikiendi hii, mchana kweupe Pep atakuwa akichuana na Tuchel. Safari ya kuwania ubingwa wa EPL inaendelea! Nani ni nani? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.71 kwa City.

 

Jumapili tunahamia kwenye London Derby. Tottenham Hot Spurs uso kwa uso dhidi ya Arsenal. Mikel Arteta yupo kwenye moto mkali, vijana wake wanaupiga mwingi! Spurs nao, Conte amebadilisha morali ya timu, wanapambana kwa kila sekunde uwanjani. Derby ya wikiendi hii ni mchongo, ifuate Odds ya 2.40 kwa Spurs.

 

Kwenye Serie A, Atalanta watawaalika Inter Milan. Kule Italia napo mambo yanataradadi, mtanange wa kutetea ubingwa kwa Inter sambamba na kuwania nafasi 4 za juu, unashika kasi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 kwa Inter.

 

Jumatatu ni muendelezo wa AFCON, Burkina Faso vs Ethiopia. Hakika, Ethiopia wanataabika, wameshapoteza michezo miwili ya mwanzo, huu watatu watatokaje? Burkina Faso walipoteza mmoja na kushinda mmoja, hapa vipi? Kupitia Meridianbet, Ifuate Odds ya 1.68 kwa Burkina Faso.

 

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote.